Aims of this blog: ^Advertise tourism destination ^ Publicize tourism events ^ To exhibit leisure events ADVERTISE WITH US:+225653683428 Emal: teresiamsanga@gmail.com
Sunday, 18 May 2014
Thursday, 15 May 2014
Zifahamu sababu za wanyama hawa kuwa kwenye kundi la "Big five animals"
Tanzania ni
moja ya nchi ambayo wanyama wote
waliopo kwenye kundi la “Big five” wanapatikana nchini hapa wanyama hao ni
Simba,Tembo,Chui,Faru na Nyati. Sababu za kuitwa “Big five” si kwasababu ya ukubwa wa muonekano
wao,ni kutokana na ugumu wao katika kuwawinda pia ni wanyama
ambao ni hatari, vile vile makampuni ya Utalii hulitumia jina hili kwa dhumuni
la kuwapata kuwatangaza kimataifa wanyama hawa.
Subscribe to:
Posts (Atom)