Ziwa Eyasi ni ziwa lenye maji ya chumvi linalopatikana kati ya genge la bonde la
ufa na na Milima ya Kidero. Maeneo yazungukayo ziwa Eyasi ni makazi ya kabila
maarufu la Wahadzabe ambao ni moja ya makabila machae ya wawindaji yaliyobaki
katika bara la Afrika. Wahadzabe wamekuwa wakiishi katika misitu ya acacia na
vichaka vinavozunguka maeneo ya ziwa Eyasi kwa atakribani zaidi ya miaka 10,000
iliyopita.
Utalii unaofnyika katika eneo hili ni utalii wa kitamaduni.
No comments:
Post a Comment