Thursday, 15 May 2014

Zifahamu sababu za wanyama hawa kuwa kwenye kundi la "Big five animals"

    Tanzania ni  moja ya nchi ambayo  wanyama wote waliopo kwenye kundi la “Big five” wanapatikana nchini hapa wanyama hao ni Simba,Tembo,Chui,Faru na Nyati. Sababu za kuitwa  “Big five” si kwasababu ya ukubwa wa muonekano wao,ni  kutokana na  ugumu wao katika kuwawinda pia ni wanyama ambao ni hatari, vile vile makampuni ya Utalii hulitumia jina hili kwa dhumuni la kuwapata kuwatangaza  kimataifa wanyama hawa.
 
Lakini pia wanyama hawa wanapatikana  Afrika katika nchi za Botswana, Uganda, Namibia, Ethiopia, South Africa, Kenya, Zimbabwe, Congo, na Malawi.

No comments: