“Tourism and Leisure blog” ipo Zanzibar katika Kisiwa cha
Uzi.Idadi kubwa ya wakazi wa kisiwa hiki
wanategemea uvuvi kama shughuli yao ya kiuchumi.
Lakini pia Kisiwa kidogo cha uzi kilichopo mkoa wa kusini
unguja kinaweza kusaidia serikali ya mapinduzi ya Zanzibar kimapato kutokana na
utalii iwapo kitaendelezwa na kutangazwa
Duniani kote kutokana na kisiwa hicho kuwa na upekee wake wa kuingia na kutoka
kisiwa hapo
Hivyo basi ni jukumu sasa la Serikali ya Mapinduzi ya
Zanzibari wakishirikiana na Wizara ya
Maliasili na Utalii kutafuta wawekezali ili kuweza kukifanya kisiwa hiki kuwa
kivutio kikubwa cha Utalii.
Contact with us: +2250653603428
No comments:
Post a Comment