Oldoinyo Lengai ni Mlima pekee wenye volkano hai unaopatikana Tanzania wenye
urefu wa Mita 2962 kutoka usawa wa bahari. Jina hili Oldonyo Lengai lina maana
ya “Mlima wa Mungu” katika lugha ya Kimasai.. Kabila la Kimasai hutumia
Mlima huu kwa kufanya matambiko wakiupa
sifa za Uungu kwa ajili ya kutatua matatizo mbalimbali ya kijamii yanayo
wakumba kama ,njaa na magonjwa.
Lakini pia mlima huu hutumika
kama kivutio cha Utalii, na utalii unaofanyika ni utalii wa kupanda milima.
ADVERTISE HERE.