KWA HABARI ZAIDI KUHUSU UTALII NA VIVUTIO VYA UTALII NCHINI TANZANIA BOFYA HAPA >>>>CLICK HERE>>>>
Lushoto ni mji mdogo uliopo
kwa kimo cha mita 1930 kwenye milima ya Usambara ni
makao makuu ya wilaya ya Lushoto. Mji ulianzishwa
kwa jina la Wilhelmstal na Wajerumani wakati wa koloni ya Afrika
ya Mashariki ya Kijerumani. Jina lilichaguliwa kwa heshima ya kaisari
Wilhelm II aliyekuwa mtawala wa Ujerumani hadi
1918.
Kuna barabara ya lami kati ya Lushoto na Mombo
inapounganika na barabara kuu ya Arusha - Dar es Salaam.
Mazingira ya Lushotoyanafaa kwa kilimo,vile vile kuna vivutio vingi vya Utalii katika mji huu
ambavyo huvutia watalii kutoka pande mbalimbali za Dunia.Pia hali ya hewa ya
mji wa Lushoto ni kivutio kizuri ambacho husababisha wageni wengi kuweka makazi
ya kudumu katika mji huu.
No comments:
Post a Comment