ADVERTISE WITH US CALL..0653683428
Aims of this blog: ^Advertise tourism destination ^ Publicize tourism events ^ To exhibit leisure events ADVERTISE WITH US:+225653683428 Emal: teresiamsanga@gmail.com
Tuesday, 3 November 2015
Monday, 19 October 2015
ZIWA NATRON LINA MAENEO YA KUSHANGAZA BARANI AFRIKA

Umuhimu wa ziwa hili katika ukanda wa Afrika Mashariki unatokana na
ukweli kwamba ndio sehemu pekee katika ukanda huu ambapo panatoa fursa ya
ndege aina ya flamingo kuzaliana kwa wingi.
Saturday, 12 September 2015
MOUNT RUNGWE: THE ACTIVE VOLCANIC MOUNTAIN IN MBEYA REGION

Tourism activities
Tourists uses of the Mount to
trekking and photography tourism are take place
Thursday, 10 September 2015
MIKUMI HIFADHI MASHUHURI NCHINI TANZANIA

Hifadhi hii ina ukubwa wa kilometa 3230 na ipo umbali
wa kilometa 283 magharibi mwa Dar ea Salaam. Aidha hifadhi hii iko kaskazini ya
mbuga ya Selouse na iko njiani unapoelekea katika hifadhi ya Udzungwa, Selouse na Ruaha kwa barabara kutoka Dar ea Salaam na Inapatikana katika Mkoa wa Morogoro.
-Ndani ya hifadhi ya Mikumi kuna simba ambao huwa
wanaonekana wakiwa katika himaya yao na mara nyingine wakiwa juu ya matawi ya
miti ili kukwepa majimaji wakati mvua zinapototesha ardhi ambayo ina udongo wa mfinyanzi.
-Wanyama wengine wengi hukimbilia katika eneo la
miombo nyakati za mvua ambako unaweza kuwaona katika safu za milima. Hapo
makundi makubwa ya nyati katika ukanda wa miombo wanaweza kuonekana.
-Kwa upande wa ndege, wakati wa mvua huongezeka na
kufikia zaidi ya aina 300. Hii ni kutokana na ukweli kwamba, nyakati hizi
kunakuwepo na makundi ya ndege wahamiaji kutoka nchi za Ulaya na Asia ambayo,
huungana na makundi ya ndege wakazi kama
vile chole.
-Makundi makubwa ya viboko, pundamilia na nyumbu
huonekana katika eneo hili
Saturday, 5 September 2015
OLDONYO LENGAI MLIMA WENYE VOLKANO HAI TANZANIA

Lakini pia mlima huu hutumika
kama kivutio cha Utalii, na utalii unaofanyika ni utalii wa kupanda milima.
ADVERTISE HERE.
Tuesday, 18 August 2015
Ziwa Eyasi ni kivutio kizuri cha Utalii nchini Tanzania

Monday, 17 August 2015
Maziwe Island the best diving destination along the Eastern African Coast

Flora
and Fauna
There is a wide diversity of marine species
found in and around the island reserves. This includes over 200 species of
fish, 35 genera of corals, many types of birds and a number of different sea
grasses, algae and sponges. The island used to be a nesting site for endangered
green sea turtles.
Tourism
activities
Maziwe remains
an ideal place for swimming, snorkeling and diving as well as research
expedition, sunbathing and watching dazzling tropical fish.
The area is ideal for underwater adventures and is among
the best diving destination along the Eastern African Coast with a wide variety
of underwater life.
Subscribe to:
Comments (Atom)