Leo
kwenye makala yetu tunaangaza katika Utalii wa ndani. Jicho letu limeelekea mji
kasoro bahari((Morogoro) katika Chuo kikuu cha kilimo cha Sokoine
|
Sokoine University of Agriculture | | | | | | | | |
|
|
|
|
|
|
Chuo kikuu cha kilimo cha Sokoine ni chuo
kinacho toa shahada za kilimo na nyinginezo lakini takribani miaka mitatu iliyo
pita chuo hiki kilianzisha Shahada ya
Utalii.Ni kvipi basi shahada hii imesaidia kukuza utalii wa ndani?
Wanafunzi wanaochukua Shahada ya Utalii
wameonekana kuwa na muamko mkubwa wa kutembelea vivutio mbalimbali pamoja na
Hifadhi za Taifa kama vile Mikumi, Kilimanjaro,Saadani, Lake Manyara na Mamlaka
ya hifadhi za Ngorongoro,pia wanafunzi
hao wameweza kutembelea vivutio vingine
kama vile Kaole na Ngome Kongwe huko Bagamoyo,Mapango ya Amboni pamoja na Fukwe
za Ushongo zilizopo Tanga.
Hali kadhalika wanafunzi hao hawakukosa kuwa wazalendo pia wameweza
kutembelea vivutio vilivyopo katika mji wa Morogoro zikiwemo Uluguru Nature
Reserve na Udzugwa Nature Reserve.Hata hivvo basi wanafunzi wachache wa mwaka
wa masomo 2010-2013 waliweza kuanzisha chombo kinachoandaa trip mbalimbali
kilichojulikana kama Domestic Tourism Promoters (DOTOPs).
|
Kilimanjaro at Uhuru peak |
|
Lake Manyara | | l |
|
Ngorongoro conservation area |
|
Kaole |
|
Picha ya pamoja kaole | | | | | | | | | 0 |
|
|
|
|
|
|
|
|
| 0 |
|
Uluguru nature conservation |
Hivyo basi Wanafunzi wa Shahada ya Utalii
wamekuwa chachu katika kukuza utalii wa ndani
kwa wakuweza kuwashawi wanafunzi wa Shahada nyingine kama vile Shahada
ya Elimu na Maendeleo ya Vijiji kuwa na hari
ya kutembelea vivutio vya Utalii
No comments:
Post a Comment