Hifadhi ya Mkomazi ipo katika mikoa miwili ambayo ni Kilimanjaro
na Tanga, ndani ya wilaya za Same na Lushoto
nchini Tanzania. Hifadhi ya Mkomazi ilianzishwa mnamo mwaka 1951 kama Pori
la Akiba lilitengwa kutoka katika Pori kubwa la Akiba la Ruvu.
Hifadhi hii ina ukubwa wa kilometa za mraba .Pori hili lilipendekezwa kuwa
hifadhi ya taifa kwa misingi ya kunusuru maeneo na rasilimali zilizomo kutokana
na matumizi yasiyoendana na uhifadhi kwa ajili ya kizazi cha leo na kijacho.
Katika hifadhi hii kuna wanyama na ndege wa aina mbalimbali ikiwa ni pamoja
na mbwa pori na vifaru weusi walioingizwa kutoka kutoka nchi ya Afrika
kusini
No comments:
Post a Comment